"Miradi ya shule ya sasa na ya baadaye"

Nini shule yetu inafanya zaidi kufikia kujipatia fedha kwa kuboresha hali ya maisha?


- Ufengenezaji-Biogas

- Kilimo cha kahawa
- Ulimwaji wa mboga za majani
- Mabwawa ya samaki
- energy generating
- samadi
- maziwa
- Kilimo cha miti ili kuboresha mazingira ya asili (kwa mfamo vyanzo vya maji) na kuzuiad utekelezaji na mmonyoko wa ardhi
- Shamba la mahindi ni chanzo cha chakula. Tunaweza pia kusaga mahindi tuliyoyavuna, kwa mashine yetu ya sieli na kwa ghrama ndogo, tunaweza kusaga mahindi ya watu wanaoishi kwenye eneo la shule
- Mradi wa ufugaji vyuki
- Uzalishaji wa umeme kwa mashine ndogo na e-motor kwa nguvu za maji (hydropower wheel)

Maize mill


   

Biogas-construction