"Karo ya shule na msaada wa ufadhili"

Karo ya masomo kwa mwaka ni Shilingi 158,000. Karo imejumuisha mambo yote (ambayo ni hostel, chakula, nk.). Kwa mtihani wa wanafunzi wa kidato cha pili, inahitajika Shilingi 10,000 zaidi. Kwa mtihani wa mwisho (kidato cha nne) inahitajika Shilingi 20,000 zaidi.

Kwa MTSS pana mpango wa kufadhili wanafunzi kwa masomo yao, ambapo mwanafunzi anaweza kuomba ufadhili huu ili kupunguza karo ya muhimu zaidi. Kamati ya uchaguzi, inajumuisha wajumbe wa kamati ya shule ili kuhakikisha wanafunzi fukara zaidi. Wanafunzi wanaweza kusoma bila wao kugharimia karo kwa muda. Kwa muda sasa wanafunzi wanasaidiwa na shule za kijerumani na watu binafsi.

(Msaada wa masomo) Ufadhili ni kwa karo ya masomo, msaada, gharama za mitihani na mahitaji mengine.

Habari kuhusu mpango msaada wa masomo:

  Masimbwe Technical Secondary School, MTSS
P.O. Box 46, NJOMBE
Iringa-Region, TANZANIA

several sponsored students
several sponsored students